top of page

Learn Swahili and Islamic Prayer with Kitabu Cha Sala Pdf Downloadl

jermainesayco256wy


Kusudi la kitabu hiki ni kutoa kitabu rahisi kwa kutumia Wenyeji katika Sala zao za kanuni. Wengi hawawezi kununua Kitabu cha Sala kizima, na kwa hiyo hawawezi kuabudu vizuri. Kitabu hiki kitawasaidia sana kuabudu na akili zaidi na kusali vizuri. "Anitoleae sifa mimi hunitukuza."


MUNGU Baba, wa mbinguni: uturehemu maskini wenye dhambi. Mungu Baba, wa mbinguni: uturehemu maskini wenye dhambi. Mungu Mwana, Mkomboa ulimwengu: uturehemu maskini wenye dhambi. Mungu Mwana, Mkomboa ulimwengu: uturehemu maskini wenye dhambi. Mungu Roho Mtakatifu, utokae katika Baba na Mwana; uturehemu maskini wenye dhambi. Mungu Roho Mtakatifu, utokae katika Baba na Mwana: uturehemu maskini wenye dhambi. Utatu Mtakatifu, Mhimidiwa, Mtukufu, Nafsi tatu na Mungu mmoja; uturehemu maskini wenye dhambi. Utatu Mtakatifu, Mhimidiwa, Mtukufu, Nafsi tatu na Mungu mmoja: uturehemu maskini wenye dhambi. Usiyakumbuke, Bwana, makosa yetu; wala makosa ya baba zetu; wala usitupatilize kwa dhambi zetu; utuachilie, Bwana mwema, waachilie watu wako, uliowakomboa kwa damu yako ya thamani, wala usituonee hasira milele, Utuachilie, Bwana mwema. Na mabaya yote na madhara; na dhambi, na hila na jeuri za Shetani; na ghadhabu yako na laana la milele, Utuokoe, Bwana mwema. Na upofu wote wa moyo; na kiburi, majisifu, na unafiki; na husuda, chuki, na uovu, na kutopendana kwote, Utuokoe, Bwana mwema. Na uasharati na dhambi zingine zote za kufisha; na madanganya yote ya dunia, ya mwili, na ya Shetani, Utuokoe, Bwana mwema. Na umeme na tufani; na tauni, maradhi, nzige na njaa; na vita na uaji, na na mauti ya ghafula, Utuokoe, Bwana mwema. Na maafikano ya fitina ya siri, na kuasi; na elimu ya uwongo, uzushi, na kufarakana kwa dini; na kuwa na moyo mgumu, na kulidharau Neno na amri zako. Utuokoe, Bwana mwema. Kwa siri ya Kufanyika mwili kwako kutakatifu; kwa Kuzaliwa kwako kutakatifu, na Kutahiriwa; kwa Kubatizwa kwako, Kutunga, na Kujaribiwa, Utuokoe, Bwana mwema. Kwa huzuni yako, na Hari ya damu; kwa Msalaba wako na Kuteswa; kwa Kufa kwako kwa thamani, na Kuzikwa; kwa Kufufuka kwako kutukufu na Kupaa; na kwa kuja kwake Roho Mtakatifu, Utuokoe, Bwana mwema. Wakati wote wa kutaabika kwetu; wakati wote wa kufanikiwa; saa ya kufa, na siku ya kuhukumiwa, Utuokoe, Bwana mwema. Sisi wenye dhambi twakusihi utusikie, Bwana Mungu: upende kulitawala na kuliongoza Kanisa lako takatifu Katholiko, lishike njia njema; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. [Upende kumbariki mfalme wa inchi hii, na kuuongoa moyo wake aikubali kweli yako; Twakusihi utusikie, Bwana mwema.] Upende kuwaangaza Maaskofu wote, Makasisi, na Mashemasi, wajue na kufahamu kwa kweli Neno lako; wakalieneze kwa mafundisho na kwa mwenendo wao; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kuwavika watu wakuu wa Serkali na wazee wote neema, hekima, na akili; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kuwabariki na kuwalinda makadhi, [maliwali, na maakida,] na watu wote wenye mamlaka; ukiwajalia neema ya kutenda haki, na kuihakikia kweli ; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kuwabariki na kuwalinda watu wako wote; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kuwapa mataifa yote umoja, amani, na urafiki; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kutujalia moyo wa kukupenda na kukucha, na kufuata kwa bidii amri zako; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kuwazidishia neema watu wako wote, illi kwa unyenyekevu walisikie Neno lako, walikubali kwa moyo safi, na kuzaa matunda ya Roho; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kuwaleta katika njia ya kweli Washenzi na Waislamu na wote waliopotea na kudanganyika; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kuwaimarisha wasimamao; kuwafariji na kuwasaidia walio na moyo dhaifu; kuwainua waangukao ; na hatima kumkanyaga Shetani chini ya miguu yetu; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kuwatunza, kuwasaidia, na kuwafariji wote walio katika hatari, shidda, na taabu; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kuwahifadhi wote wanaosafiri katika inchi au baharini, wanawake wote walio na utungu wa kuzaa, wagonjwa wote, na watoto wote wachanga, na kuwahurumia wafungwa wote; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kuwalinda na kuwaruzuku watoto wote wasio na baba, wanawake waliofiwa na waume zao, na wote wasio na msaada, na wanaoonewa; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kuwarehemu watu wote; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kuwasamehe adui zetu, nao watufukuzao na watusingiziao, uwageuze mioyo; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kutupa na kutuhifadhia mazao ya inchi kwa jinsi yake, tupate kuyatumia wakati wake; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Upende kutujalia tutubu kwa kweli; kutusamehe dhambi zetu zote, za ulegevu na ujinga, na utuvike neema ya Roho yako Mtakatifu, tutengeneze mwenendo wetu kwa Neno lako takatifu ; Twakusihi utusikie, Bwana mwema. Mwana wa Mungu: twakusihi, utusikie. Mwana wa Mungu: twakusihi, utusikie. Mwana Kondoo wa Mungu: uzichukuae dhambi za ulimwengu; Utupe amani yako. Mwana Kondoo wa Mungu: uzichukuae dhambi za ulimwengu; Uturehemu sisi.




Kitabu Cha Sala Pdf Downloadl



MUNGU, Baba wa rehema, usiyedharau kilio chao waliopondeka moyo, wala haja zao walio na huzuni; ukubali kwa rehema sala zetu tukuombazo katika taabu na misiba yetu yote itulemeapo; utusikie kwa neema, ili mabaya hayo, tutendewayo kwa hila na werevu wa Shetani au wa wana Adamu, yakome; na kwa tunza la wema wako yaondolewe; ili sisi watumwa wako, tusipozuiwa na mafukuzo, tukushukuru daima katika Kanisa lako takatifu; kwa Yesu Kristo Bwana wetu. Bwana, uondoke, utusaidie, utuokoe kwa ajili ya Jina lako. Mungu, tumesikia kwa masikio yetu, na baba zetu wametuambia mambo makuu, uliyoyatenda siku zao, na zamani za kale kabla yao. Bwana, uondoke, utusaidie, utuokoe kwa ajili ya heshima yako. Utukufu una Baba, na Mwana: na Roho Mtakatifu; Jibu. Ulivyokuwa mwanzo: ulivyo sasa, utakavyokuwa milele. Amin. Na adui zetu utulinde, Kristo. Uyaangalie kwa wema mateso yetu. Utazame kwa huruma huzuni ya mioyo yetu. Usamehe kwa rehema dhambi za watu wako. Kwa upendeleo na rehema usikie sala zetu. Mwana wa Daud, uturehemu. Sasa na daima upende kutusikia, Kristo. Utusikie kwa wema, Kristo; utusikie kwa wema, Bwana Kristo. Mhudumu. Bwana, utuonyeshe rehema yako; Jibu. Kama sisi tunavyokuamini wewe. 2ff7e9595c


3 views0 comments

Recent Posts

See All

Treinador de mira 8 ball pool mod apk baixar

Aim Trainer 8 Ball Pool Mod APK: como melhorar suas habilidades e ganhar mais jogos Se você é um fã de 8 ball pool, sabe como pode ser...

Comments


bottom of page